Thursday, October 20, 2011

Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake


Hii ni Picha ya kwanza iliyopatikana kwenye mtandao wa Daily star inayoonyesha Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake baada ya kupigwa risasi za Kichwa.

HATIMAE YA SEMEKANA GADDAF HATUNAE TENA!


Kiongozi wa Zamani wa Libya, Muammar Gaddafi amekufa katika mateso ya majeraha baada ya kukamatwa karibu na Mji wake wa Sirte Juu imethibishwa na Afisa Mwandamizi wa Kijeshi wa Baraza la Taifa Mpito NTC leo.

Afisa huyo wa Baraza la Taifa Mpito, Abdel Majid Mlegta aliiambia Reuters awali kwamba Gaddafi alikamatwa na kujeruhiwa katika miguu yote kabla ya alfajiri leo wakati akijaribu kukimbia baada ya msafara wake kushambuliwa na ndege za kivita za NATO.

'Pia alipigwa risasi kichwani ,`alisema kiongozi huyo.

Monday, October 17, 2011

UJIO MPYA WA CITY SOUND FM


Nikiwa kama mjasiamali mbishi baada ya kufungua kampuni yangu Vidos Technology and Marketing Company inayo jishughulisha na Marketing pamoja na IT ,SKY LINK FILMS PRODUCTION na sasa ni mewaletea wa Tanzania Radio mpya CITY SOUND FM ya burudani ambayo soon ita anza kazi Pia itakuwa inapatikana Online

Sunday, October 16, 2011

HUYU NDIYE MSHINDI WA BSS


Haji Ramadhani atimiza ndoto yake ya maisha hakika anastahili kupata ushindi huo hongera kaka jipange sasa nadhani umesha soma ramani ya mziki.....

Msanii Mr.Flavor akionesha uwezo BSS 2011


Blad Key nazidi kung'aa na "Kila kitu Bei Juu"


Msanii anaye fanya wasanii wengine kuzidi umiza kichwa toka alivyo ingia kwenye game hili sasa atupa karata nyingine mpya "kila kitu bei juu" video hii na audio yake vimekuwa tishio hasa katika kipindi hiki cha ugumu wa maisha ,askari wetu wa Bongo Superstars ali pata nafasi ya kuongea na producer wake Ada X ambaye pia ndiye Manager wake alisema huu ndio wakati muafaka wa Blad kuingia sokoni kwa hiyo wa Tanzania wategemee mapinduzi ya kweli....