Sunday, October 16, 2011

HUYU NDIYE MSHINDI WA BSS


Haji Ramadhani atimiza ndoto yake ya maisha hakika anastahili kupata ushindi huo hongera kaka jipange sasa nadhani umesha soma ramani ya mziki.....

Msanii Mr.Flavor akionesha uwezo BSS 2011


Blad Key nazidi kung'aa na "Kila kitu Bei Juu"


Msanii anaye fanya wasanii wengine kuzidi umiza kichwa toka alivyo ingia kwenye game hili sasa atupa karata nyingine mpya "kila kitu bei juu" video hii na audio yake vimekuwa tishio hasa katika kipindi hiki cha ugumu wa maisha ,askari wetu wa Bongo Superstars ali pata nafasi ya kuongea na producer wake Ada X ambaye pia ndiye Manager wake alisema huu ndio wakati muafaka wa Blad kuingia sokoni kwa hiyo wa Tanzania wategemee mapinduzi ya kweli....