Thursday, October 20, 2011

Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake


Hii ni Picha ya kwanza iliyopatikana kwenye mtandao wa Daily star inayoonyesha Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake baada ya kupigwa risasi za Kichwa.

HATIMAE YA SEMEKANA GADDAF HATUNAE TENA!


Kiongozi wa Zamani wa Libya, Muammar Gaddafi amekufa katika mateso ya majeraha baada ya kukamatwa karibu na Mji wake wa Sirte Juu imethibishwa na Afisa Mwandamizi wa Kijeshi wa Baraza la Taifa Mpito NTC leo.

Afisa huyo wa Baraza la Taifa Mpito, Abdel Majid Mlegta aliiambia Reuters awali kwamba Gaddafi alikamatwa na kujeruhiwa katika miguu yote kabla ya alfajiri leo wakati akijaribu kukimbia baada ya msafara wake kushambuliwa na ndege za kivita za NATO.

'Pia alipigwa risasi kichwani ,`alisema kiongozi huyo.