Thursday, October 20, 2011

Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake


Hii ni Picha ya kwanza iliyopatikana kwenye mtandao wa Daily star inayoonyesha Gaddafi akiwa anapigania uhai Wake baada ya kupigwa risasi za Kichwa.

HATIMAE YA SEMEKANA GADDAF HATUNAE TENA!


Kiongozi wa Zamani wa Libya, Muammar Gaddafi amekufa katika mateso ya majeraha baada ya kukamatwa karibu na Mji wake wa Sirte Juu imethibishwa na Afisa Mwandamizi wa Kijeshi wa Baraza la Taifa Mpito NTC leo.

Afisa huyo wa Baraza la Taifa Mpito, Abdel Majid Mlegta aliiambia Reuters awali kwamba Gaddafi alikamatwa na kujeruhiwa katika miguu yote kabla ya alfajiri leo wakati akijaribu kukimbia baada ya msafara wake kushambuliwa na ndege za kivita za NATO.

'Pia alipigwa risasi kichwani ,`alisema kiongozi huyo.

Monday, October 17, 2011

UJIO MPYA WA CITY SOUND FM


Nikiwa kama mjasiamali mbishi baada ya kufungua kampuni yangu Vidos Technology and Marketing Company inayo jishughulisha na Marketing pamoja na IT ,SKY LINK FILMS PRODUCTION na sasa ni mewaletea wa Tanzania Radio mpya CITY SOUND FM ya burudani ambayo soon ita anza kazi Pia itakuwa inapatikana Online

Sunday, October 16, 2011

HUYU NDIYE MSHINDI WA BSS


Haji Ramadhani atimiza ndoto yake ya maisha hakika anastahili kupata ushindi huo hongera kaka jipange sasa nadhani umesha soma ramani ya mziki.....

Msanii Mr.Flavor akionesha uwezo BSS 2011


Blad Key nazidi kung'aa na "Kila kitu Bei Juu"


Msanii anaye fanya wasanii wengine kuzidi umiza kichwa toka alivyo ingia kwenye game hili sasa atupa karata nyingine mpya "kila kitu bei juu" video hii na audio yake vimekuwa tishio hasa katika kipindi hiki cha ugumu wa maisha ,askari wetu wa Bongo Superstars ali pata nafasi ya kuongea na producer wake Ada X ambaye pia ndiye Manager wake alisema huu ndio wakati muafaka wa Blad kuingia sokoni kwa hiyo wa Tanzania wategemee mapinduzi ya kweli....

Saturday, October 15, 2011

Bongo Flava Inazidi Pasua Anga


YALIOJIRI JANA KWENYE BONGO STAR SEARCH @Diamond Jubilee Saturday, October 15, 2011



Huyu ndio mshindi wa BSS kwa mwaka huu 2011 anaitwa Hajji Ramadhani

CELEBRITIES WAFUNGUKA JUU YA KIFO CHA STEVE JOBS


muanzilishi wa Apple, Steve Jobs (56), amefariki leo hii baada ya kuugua cancer kwa muda mrefu. wasanii, wanasiasa, wafanya biasharawakubwa ulimwenguni wametumia twitter, facebook kuzungumzia majonzi yao kwa kupotelewa kwa mmoja wa wagunduzi wa karne iliyopita.kuanzia kwa Lil wayne, Bill Gates mpaka kwa Raisi Obama,dunia inamkumbuka Jobs kwa mapinduzi ya teknolojia na burudani, kwa ugunduzi wake wa products kama iMac, iPod, iPhone, na iPad. lala kwa amani jiniaz wa ukweli alietufanya sote kufikiria tofauti.

Hamisi 'B-dozen' Mandi ‎#Isad R.I.P Steve Jobs

wakazi: in the memory of the late Great Steve Jobs, i wont release #MsibaOTIS tonite, sitaki watu washerehekee msiba wakati wa msiba

Pharrell: God bless the family of Steve Jobs. He was our modern day Leonardo DaVinci. From Apple to Pixar, what a great life lived. He will be missed.


President Obama: Michelle and I are saddened to learn of the passing of Steve Jobs. Steve was among the greatest of American innovators—brave enough to think differently, bold enough to believe he could change the world, and talented enough to do it.

Ciara: RIP Steve Jobs- an amazing man you were! May your legacy and the greatness you’ve contributed to the world live on forever!


Lil Wayne: RIP Steve Jobs
Bill Gates: I’m truly saddened to learn of Steve Jobs’ death. Melinda and I extend our sincere condolences to his family and friends, and to everyone Steve has touched through his work.

Swizz Beatz: RIPS STEVE JOBS THE GREAT! HE CHANGED OUR WORLD IN MANY WAYS NOW HE IS GOING 2 ANOTHER WORLD OF GREATNESS I GUESS HE GRADUATED WITH HONORS

LeToya Luckett: R.I.P Steve Jobs. The impact u made on this WORLD will NEVER be forgotten.

Snoop Dogg: RIP Steve Jobs Rest in peace homie.

Nicki Minaj: An innovator. Contributed so much to this generation & beyond. RIP Steve Jobs.

Chamillionaire: “Being the richest man in the cemetery doesn’t matter…Going to bed saying we’ve done something wonderful.. that’s what matters” -Steve Jobs

Jermaine Dupri: Steve Jobs Dead: Apple Co-Founder Dies At 56: DAMN!! I HATE THIS
?uestlove of The Roots: Thank You Steve Jobs. For everything.

Ameriie: Steve Jobs was a visionary, whose imagination propelled us all into the future, impacting the course of human history forever.

Kim Kardashian: Wow Steve Jobs died! He was a brilliant man!

Lupe Fiasco: RIP Steve Jobs
Estelle: JUST REALISED sitting in studio all the things i wouldnt have been able to do if steve jobs hadnt been living his truth #thankyou STEVE JOBS


Toni Braxton: RIP Steve Jobs. Thanks for helping bring us such great Apple products! My family and I swear by our ipads.


Sean Kingston: RIP Steve Jobs!… You will be missedl, smh i just heard the sad news life is really short man….

NI KESHO NDANI YA CLUB SUN CIRRO,SINZA, PETER MSECHU, ALPHA from RWANDA NA AMBWENE YESSAYA "AY"...

MUONEKANO MPYA WA JACQUELINE WALPER

MUONEKANO MPYA WA JACQUELINE WALPER